Ziwa NabugabolابNn ok d EI uf xoSsn 7

Multi tool use

Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.
Ziwa Nabugabo ni ziwa dogo la Uganda kusini kwa Ikweta, katika wilaya ya Masaka.
Ziwa hilo liko kilometa 4 kutoka Ziwa Nyanza ambalo lilitengana nalo miaka 5,000 iliyopita.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Stager, J. Curt; Westwood, J; Grzesik, D; Cumming, B.F (2005), "A 5500-year environmental history of Lake Nabugabo, Uganda", Palaeogeography, Palaeoclimatology, Palaeoecology 218 (3–4): 347, doi:10.1016/j.palaeo.2004.12.025
- Tovuti ya Ziwa Nabugabo
- Geonames.org
|
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Nabugabo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |